Same : CCM yapukutishwa

Hawa ndio hao mamia ya wanachama,halafu mbona kadi zao mpya mpya,!!!!au mmewapa wapigie picha tu??
 
Bavicha acheni kutesa wenzenu kwa kuwapiga picha ili mradi tu mdanganye huku mitandaoni.
 
Asante sana mwisho wa ccm unakuja kwa kasi sana, ni wakati wa kuzika chama hiki hakitufai tena watanzania.
View attachment 1522549

Hii ni baada ya mamia ya wananchi kurudisha kadi za chama hicho na kjiunga na Chadema.

Taarifa zinadokeza kwamba huu ni mwanzo tu , kipigo zaidi kinakuja .
Watu wa Dodoma ndio wajinga nchi hii.
Hawa ndio hao mamia ya wanachama,halafu mbona kadi zao mpya mpya,!!!!au mmewapa wapigie picha tu??
Hata kusini nako hamna kitu watapata. CCM inatakiwa kuvunjwa taratibu taratibu namna hii
Hawa wana akili..
Kumbe ni mamia alafu kilimanjaro...
Bavicha acheni kutesa wenzenu kwa kuwapiga picha ili mradi tu mdanganye huku mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…