Ila kweli hawa wazee wastaafu ni wanafiki,kwanini hawakuanza mapambano wakiwa ndani ya system akae pembeni atuachie vijana tuijenge Tanzania tuitakayo yao imepita asijisumbue kutusaidia aendelee kula alivyovuna.Pia taasisi mbalimbali zialike wana mapinduzi kuwa wageni rasmi maana maneno matano ya Mnyika ni sawa na hotuba nzima ya wazee kama hawa.