Samatta Vs Beşiktaş

Liverfool kama timu ndio walikuwa wabovu na sio Marius pekee yake!
 
mada imekaa kimbea mbea, yani mistake ya siku moja mtu anaonekana hovyo. mpira ni biashara/kazi ndo mana aliondolewa liva ila mtoa mada asingepaswa kuandika hvy
 
Ni makosa sana kujurge kwa makosa ya siku moja,Hata kwenye kazi tunazofanya mahofisini hatuko perfect kila siku na ufanisi wa mfanyakaz yeyote kuna ups and down nyingi tu.He did the mistake tena kwenye final na Liverpool lost but hyo sio sababu ya kumsema Kama unavyofanya!! Mbona Hugo Loris alichoma kwenye final France v Croatia na still anaanza Tottenham na still anadaka France Kama kipa Namba moja??
Baya moja au mawili YASIFUTE MAZURI YAKO YOTE MKUU
 
mbona walimuacha sasa hadi kaangukia bestikas?
 
Half time result
IMG_6145.JPG
 
Back
Top Bottom