Samatta anakubalika kwenye timu yake

Mzungu ndio binadamu mwenye shukrani na fadhila kuliko kiumbe yeyote chini ya jua. Hawatasahau Kazi samata aliyowafanyia milele.

Ila bongo ikitokea umekosa hata penalty watakuponda na makopo ya mkojo hadi uchanganyikiwe licha ya kuwa unaongoza ufungaji bora wa ligi. Bongo nyoso.
 
Kweli kabisa
 
Tatizo tuna wivu wa kijinga, we nenda kwenye jukwaa la sports wazushi tayari wameshaweka thread ya kumponda kama kawaida yao
 

Ni fikra za kitumwa tu, kuona kila cha mzungu ni bora zaidi, Samatta na Timu ya Taifa wanapendwa sana hata Tanzania.
 
Naota ananyanyua kiatu cha ufungaji bora msimu huu!!!
 
Samatta is one of my favorite superstars in Tanzania, it's not scandal but what he does on and off the pitch that cling him at the top!
Sio akina domo scandal mingi kuliko kazi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…