Amefunga bao moja kati ya mawili walipoishinda Al Ahli ya Misri hivi punde. Bao lingine limefungwa na Canda. TP Mazembe imejihakikishia nafasi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Ni hayo tu wakuu...

Huyu mtoto anatisha kama njaa aise.
Nasikia Congo wanafatilia FIFA ili kupata ufumbuzi kisheria ili wampe uraia then achezee taifa lao kama mkongo man!
Kwa sheria za fifa mchezaji anayeweza kubadilisha uraia na kuchezea timu za wakubwa pale tu itabainika kama hajawahi kuchezea timu ya wakubwa ya nchi nyingine kwa nchi kama Kongo yenye watu wenye ufahamu mkubwa wa soka hawawezi kufanya kitu hicho kwani tayari sammata ameshachezea timu ya wakubwa ya Taifa Stars kumbuka kuna wachezaji wengi wenye asili ya kongo wenye uraia wa nchi za ulaya kama ufaransa na ubeligiji na baadhi wamebadilisha uraia uraia baada ya kuchezea timu za vijana za nchi hizo hivyo Kongo hawawezi kufanya kitu kama hicho