RUSSESABAGINA Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 167 Reaction score 239 Dec 4, 2019 #1 Habari za muda huu wana Jf, Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto. Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000 hadi 15,000 samaki mkubwa kabisa. Ofisi yetu inapatikana Mwanayamala Magengeni. Au piga simu 0719 -551-375 Karibuni sana.
Habari za muda huu wana Jf, Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto. Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000 hadi 15,000 samaki mkubwa kabisa. Ofisi yetu inapatikana Mwanayamala Magengeni. Au piga simu 0719 -551-375 Karibuni sana.
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Dec 4, 2019 #2 Wanapikwaje?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,637 Reaction score 220,408 Dec 4, 2019 #3 Mr. MTUI said: Wanapikwaje? Click to expand...
RUSSESABAGINA Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 167 Reaction score 239 Dec 4, 2019 Thread starter #4 Unapika kama samaki wengine tu, isipokua hawa unaanza kuchemsha maji kwanza Yakishapata moto unawaloweka kwa dakika 7 had 10 kwenye hayo maji then ndo unawapika.. Ni watamu sana kwa nazi ama chukuchuku. Mr. MTUI said: Wanapikwaje? Click to expand...
Unapika kama samaki wengine tu, isipokua hawa unaanza kuchemsha maji kwanza Yakishapata moto unawaloweka kwa dakika 7 had 10 kwenye hayo maji then ndo unawapika.. Ni watamu sana kwa nazi ama chukuchuku. Mr. MTUI said: Wanapikwaje? Click to expand...
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Dec 4, 2019 #5 RUSSESABAGINA, Ntamuuliza wife if anaweza wapika
LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,157 Reaction score 1,679 Dec 5, 2019 #6 RUSSESABAGINA, Nataka tufanye ubia je inawezekana
RUSSESABAGINA Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 167 Reaction score 239 Dec 5, 2019 Thread starter #7 Karibu sana mkuu Mr. MTUI said: Ntamuuliza wife if anaweza wapika Click to expand...
mnangagwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 1,006 Reaction score 1,506 Dec 5, 2019 #8 RUSSESABAGINA, Vibambala bado vipo mkuu?
RUSSESABAGINA Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 167 Reaction score 239 Dec 5, 2019 Thread starter #9 Hapana sina vibambala mkuu, nina samaki kutoka ifakara ni kitoga. mnangagwa said: RUSSESABAGINA, Vibambala bado vipo mkuu? Click to expand...
Hapana sina vibambala mkuu, nina samaki kutoka ifakara ni kitoga. mnangagwa said: RUSSESABAGINA, Vibambala bado vipo mkuu? Click to expand...