Bei hiyo ni pamoja na usafiri mkuu ila tunauza kwa jumlaElfu 8000kw kg mbn kubwa sn... Hujaelez usafir unakuaje ebu tuliza ball urudi tn na taarif kamil. Weka bei ya jumla na rejarej pia
Sent using Jamii Forums mobile app
bado bei kubwa mno...mimi kuna ndugu yangu anaagiza samaki kutoka mwanza kwa mda mrefu tu ila sio kwa bei hiyo
Aanagiza kwa bei gani mkuubado bei kubwa mno...mimi kuna ndugu yangu anaagiza samaki kutoka mwanza kwa mda mrefu tu ila sio kwa bei hiyo
sangara 4000, SATO 6300 na usafirishaji 26k kwa kila kilo 100
Mwanza tu sangara 4200, sato 7300 bei nilizotaja hapo juu ni pamoja na usafiri na ushuru, mkuu hizo bei ni za mda kidogo mkuu, karibusangara 4000, SATO 6300 na usafirishaji 26k kwa kila kilo 100
Unataka sie walaji tuje tuuziwe samaki sato kilo moja kwa bei ya Kitimoto mkuu?Heshima kwenu wana JF,
Kwa heshima kubwa tunawakaribisha na kuwaarika wadau wa samaki kua tunapokea order na kutuma samaki wabichi waliogandishwa kutoka Mwanza aina ya Sato na sangara.
Bei zetu; Sato 8000/kg
; Sangara 4800/kg
Tunatuma mikoa yote kwa ratiba ifuatayo
Dodoma, Morogoro na Dar siku za j,nne, alhamisi na jmosi
Dodoma, Iringa na Mbeya siku za Ijumaa
Dodoma, Manyara na Arusha siku ya Jpli
Shinyanga na Kahama kila siku
Tunawakarisha wenye mabucha ya samaki kuweka order zao mapema usarama wa mzigo wako ni uhakika weka order kuanzia kilo 100 na kuendelea
Wasiliana nasi kwa namba 0764 123459 au 0783686643 email babilasfikiri@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote ni white meatUnataka sie walaji tuje tuuziwe samaki sato kilo moja kwa bei ya Kitimoto mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app