Samaki wa Kichina,

Chacha njombe hapo ukipata na nchele unapika mbanda,mwe kunonyela
 
Reactions: awp
Hapa SUA watafunga mtu sasa hivi, alafu mama ntilie hana hata wasiwasi!
 

Ayaa..nimechelewa kuna mahali walikua wanakuja sana hawa..ningalijua wanatuliza minyoo ningewaweka kwenye bajeti. Sio mbaya pia mtu ukijitahidi kabla hawajawa dili unaweza kusevu hela ya kujenga kibanda nyama ya kuku haishikiki mkuu.
 
dah! amenikumbusha mahome kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wanapikiwa nchele hao eee kunoga.
 
Duuuh, mchemsho wapanya? Spoiled my appetite.
 
Hii chakula yaweza kuwa taamu saana ila maandalizi yana utata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…