Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Kilo moja anafananaje?Samaki aina ya kambale wanapatikana kwa bei ya 8000/= kwa kilo.
tupo kimara suca.
njoo uchague mwenyewe kutoka bwawani.
karibuni sana.
mawasiliano
0762397421
Du! Huyo Brigedia ni yule mwenye nyota 3 na Bibi na bwana au Brigedia yupi mkuu?African Catfish-Kambale au Brigedia.
Mkuu hao kambale ni wa saizi ipi?
Hata sijui nisemaje boss. Ila nashukuru kwa comment yako. Karibu upate unachotakaHiyo Kimara Suka si Dar es salaam?! Si hapa Dar es salaam tukienda bucha kununua nyama tunamwambia muuza bucha nyama aikate kate kabisa ili home tukafikie kupika tu, au?! Si unajua kwa huku bachelor street ukitaka tununue mchicha wako basi na wenyewe ujiandae kuuchambua na kuukatakata kabisa?! Si unajua ukiuza miwa yako kama ilivyo jiandae kurudi nayo kwenu kama ulivyoileta vinginevyo tumenyee na ikate kate kabisa kisha tuwekee kwenye vimifuko?!
Hebu ngoja... kwahiyo hao kambale ndo unataka kutuuzia kama walivyozaliwa hivyo hivyo, au?!
Tunafanya bossVipi delivery hamfanyi hapa mbezi luis
Kambale mtaani huwa tunamuita Brigedia kutokana na ndevu zake na ubishi wa kukaa kwenye tope pia kumtoa kwenye maji kisha ukimrudisha anaendelea na safari zake.Du! Huyo Brigedia ni yule mwenye nyota 3 na Bibi na bwana au Brigedia yupi mkuu?
Anaweza kuwa hata mmoja usiangalie wingiMkuu kilo moja wanakua wangap