R rugo Member Joined Jun 20, 2012 Posts 28 Reaction score 12 Jan 31, 2013 #1 Hiyo imetokea huko Panama. Ni baada ya wavuvi kumnasa samaki huyo kwa kutumia mtego wao/ndoano, akaanza kutaka kujinasua na ndipo alipoizamisha boti hiyo. Attachments SAMAKI.doc SAMAKI.doc 107.5 KB · Views: 272
Hiyo imetokea huko Panama. Ni baada ya wavuvi kumnasa samaki huyo kwa kutumia mtego wao/ndoano, akaanza kutaka kujinasua na ndipo alipoizamisha boti hiyo.
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,974 Reaction score 2,492 Jan 31, 2013 #2 alikuwa mkubwa kiasi gani? pole zao