Samahanini mwanamke huyu ni --------

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Huyu mwenye mume sijwahi kuona mwanamke -------- kama huyu.Pili sijawahi kuona waandishi wapumbavu wanaoshabikia habari za kipumbavu kama hawa.
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye deahi deahi ulitaka kuandika neno gani?
 
sijakusoma,kumbe wehu wengi humu jf sikuhizi?
 
Huyu mwenye mume sijwahi kuona mwanamke -------- kama huyu.Pili sijawahi kuona waandishi wapumbavu wanaoshabikia habari za kipumbavu kama hawa.

Nimefungua kwa speed, kumbe zziiii
 
Last edited by a moderator:
Hii kali ya mwaka .......ahsante ndugu kwa kunivunja mbavu
 
as usual simple mind .........
 
matukio kama haya si kwamba huyu mama ndo wa kwanza kufanyiwa, hata mababu zake walishafanya mchezo kama alioufanya mumewe, sema tuu hajajua kama amejidhalilisha, kamdhalilisha mumewe, watoto wake na familia zao kwa ujumla. Mtu mwenye kazi yake au biashara zake na akiwa busy kulea watoto hawezi pata muda wa kumpiga mgoni wa mumewe wala kuita waandishi wa habari wakaweka zogo nyumbani kwako. Huku ni kuwa idle au mambo ya uswahilini, mwanamke mwenye staha anamaliza mambo yake na mumewe bila watoto wala majirani kujua nini kinaendelea. Kama wamefikia level ya kulala vyumba tofauti basi wanatakiwa kila mtu awe na time zake wasisumbuane na kudhalilishana mitandaoni, kesho na keshokutwa anakuja jutia alichofanya.
Sasa mama kama huyu akiwa na binti yake atamfunda avumilie ndoa kweli au atumie akili, maarifa au hekima gani kunusuru ndoa yake?
Kweli ndoa sio siku ya harusi tuu ndoa ni kuishi na kukabiliana na kila linalotokea kwenye ndoa vinginevyo ukiwa na roho ndogo usioe wala usiolewe. Wengine ndo tushakuwa manunda nasubiria kichanga wa Obama tuu azaliwe kanavoruka huko tumboni balaa.
 
Anampa mgoni wake umaarufu yeye anajidhalilisha.
 
Mbona nimeambulia patupu!! Au tatizo ni king'ong'a changu hakifunguki?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…