Samahani sana Mbw....o


Acha kutujazia nzi hapa wewe...cha ajabu kipi?

Vivian,asante..nimecheka kwa mara ya kwanza leo..
 

Hehe kula tano kwanza za mbali mtu wangu vivian....alikua hana jinsi ya clip hiyo name mazee.... so akaamua kuuchuna kama vile......
 
Dada Vivian
Nadhani katika unyago kungwi wako hako kajina kapili alikunyagorisha vilivyo na hakika kamekukaa
shuguli kwako
 
teh teh teh, majina mengine kazi kweli kweli...
 

Hahaaaa, watu kwa uchokzi bwana!
 
Kwa kweli hii trend inachekesha..
Ukifupisha jina la bwana kaka lina kuwa eitha dog or penis.
Bongo dukinaaaa... Shalo tinatina
 
kwa makabila mengine kama ya Tanzania, mboro ni jina la ukoo na linatumika vizuri sana na mbele ya watu wote.
 

Kwani hapa cha ajabu ni nini, wewe ndo tunakushangaa unafunguafungua thread bila kujua maana zake thread hii ni ya Jokes na udaku. Magazeti ya udaku yako public yansomwa na watoto pia na huwa hayaandiki tu maneno yanatoa picha za uchi sijakusikia ukipiga kelele.

Kwanza Vivian hajaandika matusi yeye kaandika Mbwambo ila wewe ndio unamawazo ya kimatusimatusi, kwani mbwambo ni matusi, big up Vivi..mimi napenda kukuita ..an....au han... mwaga zingine tutaokota achana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…