Samahani sana hili lazima niseme bwana

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Wadada ni wazuri sana haswa wanapokuwa kwenye kivazi kilochozoeleka Jeas, kila mtu inamtoa,
Naukapela wangu nikavutiwa bhna na dada mmoja msomii tu na umbo la ukweli..maisha sio yale ya manzese au kwa lugha nyingine uswahilini.

Cha ajabu karibu mwezi 3 nafukuzia hii kitu,baada sasa ya kufanikisha ngoma, ,jamani heee mwanamke ananukaa Papuchi aibuuuuu
Naomba kuuliza kwa wadada mlioko humu jamii forum, huwa hii harufu nyinyi hamuisikii au kujiachia tu..
Kama mtu mgonjwa mbona dawa zipo jamani,
Sasa alivyo mbishi,ukimwelekeza cha kufanya,kununa hasira na full jeuri. .
Nawaombeni sana wadada wa kibongo ni wazuri sana na mimi nafurahi sna kuona demu wa kibongo ila tuwe na utaratibu wa kupima afya kila wakati. .ili kujua matatizo. .
Ona sasa nilikuwa na lengo la kuchukua jumla ,umenitisha kwa harufu ya K...
NILIOMBA MSAMAHA KABLA LAKINI .
 
Ah mkuu yaan unaacha mrembo kisa smell! !!! Msaidie bana hii huwa ni maambukizi akisimamiwa anakaa sawa.
 
Wameambiwa wasijiswafi vizuri watapata UTI. Waachie natural way ya kutoa uchafu. Just thinking........
 
Hupaswi kusamehewa..
Hujui wana haki ya kusitiriwa aibu za huko faraghani kwenu?
Hukumtaja jina sawa, ila hukupaswa kusema hata hizo aibu zake, utajisikiaje siku daktari aliyekutibu akitangaza aibu zako japo asikutaje jina?
 
Wadada ni wazuri sana haswa wanapokuwa kwenye kivazi kilochozoeleka Jeas, kila mtu inamtoa,
Naukapela wangu nikavutiwa bhna na dada mmoja msomii tu na umbo la ukweli..maisha sio yale ya manzese au kwa lugha nyingine uswahilini.

Cha ajabu karibu mwezi 3 nafukuzia hii kitu,baada sasa ya kufanikisha ngoma, ,jamani heee mwanamke ananukaa Papuchi aibuuuuu
Naomba kuuliza kwa wadada mlioko humu jamii forum, huwa hii harufu nyinyi hamuisikii au kujiachia tu..
Kama mtu mgonjwa mbona dawa zipo jamani,
Sasa alivyo mbishi,ukimwelekeza cha kufanya,kununa hasira na full jeuri. .
Nawaombeni sana wadada wa kibongo ni wazuri sana na mimi nafurahi sna kuona demu wa kibongo ila tuwe na utaratibu wa kupima afya kila wakati. .ili kujua matatizo. .
Ona sasa nilikuwa na lengo la kuchukua jumla ,umenitisha kwa harufu ya K...
NILIOMBA MSAMAHA KABLA LAKINI .
Mkuu acha kudhalilisha dada,wake,mama,bibi zetu. Mambo mengine si ya kuyaleta online.
 
Hatuwezi kujua ukweli wa hili maana ni story ya upande mmoja....pengine mwana ulikuwa unatema ww halafu ulivyorushwa kibuti ukaona bora tukose wote
 
Bwana mdogo jihukumu na wewe, unanuka au hunuki, nikuhakikishie kuwa unanuka?
 
Back
Top Bottom