Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Si anataka tujue kuwa amepata mtarajiwa humuHukuweza kumwambia in private?
Si anataka tujue kuwa amepata mtarajiwa humu
Mapenzi ya kujulia ukubwani ni kero sana,uko kama ndugai kupanda ndege daraja la kwanza ametaka kila mwana kongwa ajue.
Mkianza kugombana pia usisite kutufahamisha
Mapenzi ya kujulia ukubwani ni kero sana,uko kama ndugai kupanda ndege daraja la kwanza ametaka kila mwana kongwa ajue.
hahaaaaa u made my night, ushamba mwingine bwana, :sick::A S-rap:uhapo anajiona mjanjaaa! Ms.Lincoln nisaidie kucheka.