Samahani mke wangu

Na michepuko ilivokuwa sasa ukiachwa na mkeo nayo inakukimbia yote
ile ambayo haijui inataka nini ndo inakimbia,,, sbb inakuwa na chepuko lake hukoooo, lkn ile smart,, hata watoto inakukumbusha kuwacheki, ada za skuli,,, nguo na kila kitu.....
 
Mke alikuwa na hekima au alijaaliwa hekima na Mola jinsi ya kuamua au kuenenda. Ni kwa neema tuu ndo waweza fanya kama hayo ni si kwa kuiga au kunakili kuwa nami yakinikuta nitafanya kama hivi..... hehehehehhee utageuka Ze Comedy bila malipo.
Anyways siko huko... wacha wenye kuishi huko waendelee kugusana.
 
Mkuu Zogoo da khama ni vema ukampigie mkeo magoti arudi mlee watoto watu wazima nyie. Achana na kukimbizana na wanawake na umri wako huo hutafika nao mbali kama si kuzoa magonjwa na ukichaa tu. Ninatumaini umenielewa sitaki kusema mengi hapa!!! Nimefurahi umeleta hii kitu hapa, kuna kitu umewaza. Congrats buddy.
 
Daa ndo maana naogopa kuoa,maneno mazito mazito
 
Subiri wapenda michepuko waje ulichokiandika hapa kwao ni Mazigazi tu
 
kumbe!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…