Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,458
- 617
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani
MASWALI:
1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......
2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo je Itatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?
SAMAHANI LAKINI

kwenye jukwaa la dini utapata majibu muafaka ila kama ni kichekesho mmmm!?Teh teh teh,