Sam Mahela wa ITV

Status
Not open for further replies.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Sam mahela wa itv ndio habari ya mjini kwa sasa..,kama umedhulumiwa au haki yako imevunjwa kwa namna moja au nyingine, usihangaike kwenda polisi au mahakamani, nenda kashitaki kwa sam mahela wa itv, na hautajutia uamuzi wako. Long live sam mahela.
 
Aangalie na yeye yasije kumpata yaliyompata Jerry Muro maana ngoma ikizidi kusifiwa ujue inakaribia kupasuka.
 
Sam mahela wa itv ndio habari ya mjini kwa sasa..,kama umedhulumiwa au haki yako imevunjwa kwa namba moja au nyingine, .......
.... na hautajutia uamuzi wako. Long live sam mahela.

Yangu imevunjwa kwa namba saba.
 
Yangu imevunjwa kwa namba saba.
Usiwe kilaza wewe, hiyo ni typing error, nilitaka kumaanisha " namna " na sio " namba". Anywayz, GTs wamenielewa, so kaa pembeni, waache wanao jua wanacho kifanya
 
Anasaidia bure au inabidi umpe mahela kama jina lake?
 
Tuwekee mifano hai mitano ya watu aliowasaidia

Huna macho? ufutilii habari kila usiku? Jamaa mzuri sana tena hata pesa huwa achukui hana tamaa alafu ameokaka anasaidia sana Mungu amsaidie alifanya kazi nzito sana juu ya dada betric mkindo aliyekuwa amevimba mguu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…