Sam Mahela umekuwaje leo?

Nimempata huyo popoma mkuu.yani hua anaongea utadhani yeye pekeyake ndiye ana definition ya kufanikiwa kimaisha na wengine hawajui chochote kumbe ----- tu.
 
Sioni cha kushangaa hapo,ni ugeni wa kazi akizoea atasoma poa tu.Wengi wanaoponda hapa hawajawahi kuzungumza officialy mbele ya watu 10 labda kwenye vijiwe vya mpira na kubet
 

90*4=360,ahaaa mawingu 360
 
Kesho mtarudi wenyewe kuanzisha thread za kumsifia,mnajua Mahela au mnasimuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…