Sam anatafuta mchumba

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Wasifu wangu
Age:26
Elimu:degree
Kazi:teacher
Mwonekano:angalia avatar yangu

Wasifu wa ninaemtaka
Age: 20 na kuendelea
Elimu:diploma au zaidi
Kazi:yoyote
Imani:mkristo
Mwonekano:awe mzuri wa tabia na sura
 
Elimu hii yaniangusha jamani,ngoja niende ngombaro...
 
we ticha c uchukue div V tu hapo mtaani kwenu
 
Sam Love ungemalizia kwa kusema wahi sasa nafasi ni chache sana
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tutakutana kule halafu uniambie sababu ya kutoa siri za wakubwa kwa watoto.
Acha bhana! Jawilat vipi jamaa yako ka-improve? Uniona vipi kula kona mdau kapatikana hapa - JUST A JOKE
 
bado hakuna aliekidh vigezo
 
Haka kadogo kangu kana vibinti vingi sana, sijui kanatafuta nini humu! Kila thread kapo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…