Salute na heshima kwa lowassa...

Ujumbe mzito sana wenye ukweli. Asante sana.
 

Hofu tupu, yaani mwaka huu mpaka mnye, MTAJI WENU FISADI JAMBAZI LA UCHUMI. Maneno meengi. Tulieni mpira ndio kwanza upo katikati mtanyooka tu. Kura yangu ni kwa Magufuri.
 


Elisabella,


Ni katika kusaidia tuu, hivyo just cut 'n' paste.

Pasco
 
Anayebeza ni PALUKUNDU,Umetisha kamanda,nimesoma mwanzo mwisho. Ccm kwisha habar yao
 

Nani kakwambia kwamba alikuwa kweny mashindano ya kuandika INSHA hapa? Kwa hiyo nikimsaidia kutenganisha aya utapata ujumbe?
 
Hakuna aliyelipwa kufagia barabara. Mambo safiii Mwanza, kule mpakani jamaa hoi kashindwa kusimama.

Nikumbushe mwanaccm mwenzangu hii ilikua wapi vile
 

Attachments

  • 1445103025797.jpg
    13.6 KB · Views: 113
Hakuna aliyelipwa kufagia barabara. Mambo safiii Mwanza, kule mpakani jamaa hoi kashindwa kusimama.

......Sijui ni mwana CCM gani mkubwa na maarufu "aliyemzima" na "anayeweza kupiga push ups" atakata pumzi wiki ijayo!

.....Just kidding, lakini acheni pia kukebehi afya ya Rais Mteule!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…