moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 1,016
- 1,016
Kabsa kabsa mzee wa kazi wanatupa makazi kibao ya nyumbani au shambani wakidhani wanatukomoa kumbe wanatujengaMama wa kambo huwa wanatufanyia mambo ya hovyohovyo wakijua wanatukomesha, lakini ukweli ni kuwa wengi wetu tuliolelewa na mama wa kambo huwa ni wagumu na wabishi
Hawa ni wale mama wa kambo ambao walikimbia umande! Hawana uelewa wa kutosha wa masuala mbalimbali yahusuyo malezi! Wametokea kwenye familia zilizojawa na ubinafsi, uchoyo, chuki, kisirani, nk.Hongera sana, mshike sana, sisi wengine tumelelewa na mama wa kambo mwenye sifa ya kuitwa mama wa kambo
Mama wakambo sio wote wanarohombaya hapana.mimi nimezaliwa kwenye familia kubwa Yani tupo wengi watoto wa Baba mmoja.baba yangu alikuwa na wake 4 ambao miongoni mwao mmoja hakubahatika kupata mtoto.na huyo Kati ya wote ndo alikuwa mke mkubwa wa Baba kuzidi wote na pia hata ki umri.huyo bi mkubwa kazi yake kubwa yeye ndo alikuwa akishinda nyumbani wamama wengine wakienda shambani.ivo yeye ndo anabakia na Sisi watoto Kula kuoga sisi ni kazi yake .na ikifikia umri wa kuachishwa ziwa yeye anachukua jukumu Hilo zaidi ya miaka 3 anakuhudumia Hadi kulala ni ndani mwake.mtoto ukikosea anakuchapa lakini anarudi kulia mwenyewe.mama marezi yalikuwa yazidi ya mama mrezi .Hadi tukambatiza jina la( yaya).mungu aiweke roho ya marehemu mahari salama.
Kabsa mzee wanguMama wa kambo wanatujenga sana,nililelewa na mama wa kambo kwa upendo mkubwa,alinifundisha kazi zote kwa upendo,kupika,kufua kuosha vyombo na alikua ananambia kwa nini ananifundisha zile kazi,mgeni akifika pale nyumbani alikua anasema huyu ni mwanangu wa 2,kumbe ni mama wa kambo....huyu mama nampenda na kumheshimu kuliko hata mama yangu mzazi,amenifanya kua mwanaume nayejitambua,kuheshimu wengine na pia kufanya kazi kwa bidii...Mungu ampe maisha marefu bi Sabina.
Sana mzee wa kamboHongera sana, mshike sana, sisi wengine tumelelewa na mama wa kambo mwenye sifa ya kuitwa mama wa kambo
Kweli mkuu itakuwa poa sanaMfuate pia hata na kazawadi mwambie itakuwa vizuri Zaidi mkuu
Pole bobSisi kwetu mama yetu mzazi alivyokuwa anatulea ni zaidi ya mama wa kambo kwa kifupi ni kama kambi ya mateso kumbe bana usilolijua ni usiku wa giza maisha yale yametujenga haswaa Dingi alifariki tangu 89.
Kitambo wameachana nasikia yuko mwanzaWashaachana na mshua?