Salute Kwa Mabroo!

Im Hustling Too Thats Why I Say This Bro. There Are No Car Farms,The Cash Only Counts.
Kuisaidia Jamii Kupo Pale Pale Iyo ailikua Akili Ya Nje Ya Kusoma Mkuu Worry Out.
 
Inaonekana Ndo Ilikua Michezo Yako Mkuu.Situmii Izo Huduma Kwa Sasa Na Tena Katika Maisha Yangu Baada Ya Uzi Wa Mentor SITAKI DAWA.
 
soma dogo papuchi huwa hazina exp. date ikifika time yako utakula mpk zitakukinai kabsa. acha kutoa udenda kasome.
 
Hizo ni tabia za watu tuu! Gari kitu gani Bana? Thamani ya Mwili wangu ni kubwa kuliko gari, siyo kila kidemu lazima kinione nilivyo, hiyo hapana. Kama Magari mbona wengine tunayo Muda mrefu tu, lakini swala la kufanya hivyo haipo. So kama vipi we fanya kupiga shule, uingie mtaani life linakwenda tu.
 
HAHHHHAHAHAH watu wanatembea na air flesher unadhan mchezo? unatoka kufanya mambo yako mara mshikaji kakunyooshea mkono anataka lift kumpigia tinted usimchukue itakua soo unaamua kupulizia tuu kisha unamgei lift haaoo maskan
Mpaka upilizie air freshner huyo uliebandua ni mwanamke au gari la taka? Kama anaacha uvundo wa nini kutembea nae, ikiwa una gari na haja yako kukata kiu si bora ukatafute mtu mzima anejua kujisafi.
Halafu tunajiuliza kwanini ajali za ajabu ajabu nyingi siku hizi kumbe migari inagundu sababu ya wamiliki wao kuendesha na uvundo na janaba.
 
unajua harufu mafuta ya condom? au unapiga kavu tu na kulowesha siti za gari? au mnaweka something like kijikanga kwa chini?
 
Soma kwanza dogo. Acha wakubwa wafaidi
 
HUYO DEM ANGEKUA NA VIRUSI BADO UNGETAMANI KUJA KULIPIZIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…