Salute Kwa Mabroo!

mdogo wangu nakushauri uende buguruni pale kuna sehemu inaitwa kimboka utapata hizo voda fasta fasta kwa jero hadi buku kulikoni hizo pasua kichwa za vyuo, pia unaweza ukaunganishwa na mitandao yote ya tigo na voda tena yenye kasi ya 4G kwa gharama ndogo tu kuanzia buku mbili hadi buku tano, uzuri wa pale ukishamalisha kifurushi/vifurushi vyako unaruhusiwa kujiunga na mitando mingine bila wasiwasi. tigo na vodacom!! kazi ni kwako!.
 
Haaha pole dogo soma kaZa buti waache wakubwa wafaidi ikifika zamu yako na ww utafaidi(kutesa kwa zamu )
Btw nimependa ulivyomalizia uzi wako eti "kutembelea ma**ko haaaha
Kutesa Kwa Zamu Ndo Maana Saivi Nawaangalia Tu Michezo Yao.
 
Hahaha. Mkuu Umewezaje Kuvumilia Aisee. Mie Ntawafyatua Tu Maana Hamna Namna.
 
HAHHHHAHAHAH watu wanatembea na air flesher unadhan mchezo? unatoka kufanya mambo yako mara mshikaji kakunyooshea mkono anataka lift kumpigia tinted usimchukue itakua soo unaamua kupulizia tuu kisha unamgei lift haaoo maskan
Dah Yan Unapanda Gari Unakuta Harufu Za Orgasms. Magari Nayo Yana Siri Nyingi.
 
Umenena Mkuu Most Hawajitambui Aiseee.
 
Soma dogo,upate GPA ya 5,,acha kufuatilia lyfe la watu
Hapa Kitivo Walivyokua Na Ukiritimba Ukipata Ya 5 Unaweza Mtihani Wako Ukatumwa Hadi Harvard Ukasahihishwe Tena. Wa Mwisho Kupata First Class Mwaka 1994.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…