Funguka mkuu, hiyo saloon, inauzwa shilingi ngapi@? Inavifaa gani@?. Sifa ya mfanya biashara ni kumshawishi mteja,
tabata hamna junction ya buguruni na ubungo!!IPO tabata junction ya buguruni na ubungo.
SMS 0787123085
tabata hamna junction ya buguruni na ubungo!!
Hahaha,nahisi anamaana ya pale Tabata Sheli ambapo kama sikosei moja kwa moja ndio unaelekeo Ubungo na ukipanda juu ni kuelekea Tabata Kimanga ile njia ya Tabata Bima.