Saluni inauzwa kwa Aziz Ally

Saluni inauzwa kwa Aziz Ally

Goodluckp

Member
Joined
Dec 8, 2022
Posts
7
Reaction score
5
IMG_5309.jpg

Inauzwa na kila kitu ndani
Pamoja na
Mlango wa Almuniamu
Feni panasonic 2
Mashine za rangi 2
Instant heater 1
Salun nzima 5m mazungumzo yapo
C2D69037-3407-41C7-A99E-96BB4F660253.jpg
 
Sababu za kuuza
Sababu n changamoto ya wafanyakazi wasusi na wapaka rangi. Pili usimamizi mdogo kutoka na kubanwa na majukumu ya kikazi. Na kuwaacha wafanyakazi tu. Tatu ni matatzo binafsi na kubitaji pesa kw wakat huu
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Similar Discussions

Back
Top Bottom