Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Aliyekuwa beki wa mtibwa sugar na mchezaji wa timu ya taifa stars salumu mbonde ametia wino wa kuitumikia simba miaka.
77963861017eecd8dedc899918a13401.jpg

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mbonde hayuko aggressive ...hawezi kumkaba Ngoma au Chirwa uwanja wa Taifa
 
Wameanza kusema ni mzee tayari labda tulizane hapa kuwa simba na yanga timu gani ina wazee wengi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Angeenda yanga wangesema tunasajiri kwa umakini sana

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mbonde hayuko aggressive ...hawezi kumkaba Ngoma au Chirwa uwanja wa Taifa
Ni beki mzuri sana wa Kati ni mrefu na anaweza kucheza mipira ya juu na chini na pia ana spidi na anajiamini ni beki anayetumia akili na nguvu kwa pamoja. Katika usajili wa maana waliofanya Simba huu ni mmojawapo. Na haendi Simba kukaba chirwa sijui ngoma anaenda kucheza Kama mtu anaye command defense

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Si ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Kama unajua mpira vzr mechi ya Zambia tatizo lilikuwa viungo walishindwa kukaa na mipira na kuchezesha timu matokeo defense ilizidiwa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuwa beki wa mtibwa sugar na mchezaji wa timu ya taifa stars salumu mbonde ametia wino wa kuitumikia simba miaka.
77963861017eecd8dedc899918a13401.jpg

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Miaka mingapi? Tulia uandike habari taratibu. Huyu atakua mbadala wa Banda. Toa jembe ingiza jembe mtakoma safari hii

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom