Salum mwalimu

Joined
Nov 17, 2011
Posts
32
Reaction score
5
Kwa kweli nimeupenda utendaji wa shughuli za huyu kijana katika siasa ni mfano wa kuigwa na vijana wenzake walioko kwenye siasa kanivutia sana mpaka nimeanza kufatilia siasa.
 
wewe Mwenyekiti PATROBASS anapiga kazi sana, kwa sasa anajiandaa kuingia Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Tanga ambayo ni sugu sana kwa kutopenda mabadiliko. Ataenda na team kubwa na kupiga mtaa kwa mtaa na kijiji kwa kijiji.

Tulieni tu tusiwe na haraka, huyu jamaa ni mtata sana anapiga kazi balaa.
 
Hiyokichwaatokaudsmmpwaaanaiheshimuiliwakimbizawakina vc mpaka loj!!nikiwakumbukahuyuna zitoo nawaza mbalisana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…