Salum mkambala wa Chanel ten apata ajali

Salum mkambala wa Chanel ten apata ajali

Hamisihutuba

New Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Hii imetokea alfajil ya Leo maeneo ya chalinze shuleni.ameumia vibaya.ila amekimbizwa hospital kwa msaada zaidi.
 
Attachments

  • 1393731823583.jpg
    1393731823583.jpg
    21.1 KB · Views: 786
Pole Salum M/Mungu atasimamia uhai wako..
 
Dah mungu akujalie salum ungane tena ores kawau na marry edward
 
alikuwa anaenda ama anatoka morogoro? bs gn aboud ama hood? GET WELL SOON BROTHER
 
pole..lakini na wewe umezidi kuzurura bana we asubui namna hiyo unaenda wapi.au umetoka kutambika?
 
Duh pole sana mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
pole..lakini na wewe umezidi kuzurura bana we asubui namna hiyo unaenda wapi.au umetoka kutambika?

mkuu huyo ni mwandishi wa habari so pengine alikuwa na safari ya kikazi..
 
Back
Top Bottom