Mshuwa1
Member
- Apr 8, 2015
- 91
- 22
SALON yakike iliopo Dar es salam maeneo ya sinza inauzwa ikiwa nakilakitu ndani. viti ma Dry yaukutani. Saloon ipo eneo nzuri yabiashara, na imedumu kwamda wamiaka 5, ukinunua hutoanza biashara bali utakuta biashara ipo, wew nikuiendeleza. Kwa mawasiliano ni PM. Asante.