kwani vioo vinatofautiana kutokana na aina ya salon! ila siyo saloon ni salon!Unauza saloon au vifaa vya saloon?
Mi natafuta vioo vya saloon ya kike mkuu.
kwani vioo vinatofautiana kutokana na aina ya salon! ila siyo saloon ni salon!
Sasa mkuu anauza saloon ama vifaa ...haeleweki mbona...
niuzie salon na kila kitu kilichopo ndani kama upo tayari sema nitakupa hela ya hivyo vitu vyote
Hueleweki dogo
Haeleweki nini? Yeye anataka utoke wewe tu, mpaka magazeti ua zamani unamuachia!
Samahani sana baba, nilikuwa nimekunywa konyagi nilipoingia Jf. I am very sorry my father!Mimii kama baba yako so angalia lugha unapotumia kijana....nimekuambia acha kila kitu humo ndani nitakpa hela kitu na pango nitatumia hujaelewa nini??
Wana JF,
Ninauza vifaa mbalimbali vya salon ya kiume kama ifuatavyo: Vioo viwili vikubwa vya kisasa kwa Tsh 300000, Viti viwili imara sana Tsh 200000, mashine tatu nzuri za kunyolea kwa Tsh 100000 zote tatu, spirit, vitambaa, powder, scrub oil, etc nitakupatia kama offer. Kwa anayehitaji aniPM vifaa vyote vipo sinza.