kipindi ni saa 3 kila siku kuanzia j3 mpaka ijumaa.
Mbona hamsemi wa tbc1? Au wamekufa?
kisa na mkasa na Salim Kikeke...
Nikiripoti kutoka kisangani,ni mimi LUBUNGA BYAOMBE kwa niaba ya BBC!Afu kuna jembe jingine linaitwa Lubunga Byaombe acha kabisa!
Kama sitakosea huyu alikuwa channel ten nisahihishe.ITV hawakumwona jembe
BBC imemkuza zaidi na kumwongezea umahiri.
Nikiripoti kutoka kisangani,ni mimi LUBUNGA BYAOMBE kwa niaba ya BBC!
hata yeye hakuwa mzuri darasani kwani alizungusha form 6 pale makumira mwaka 91 kama sijakosea.kipaji muhimuHilo la vipaji vya kuzaliwa huwa nashindwa kulielewa vizuri. Mimi nadhani vipaji ni sawa lakini shule muhimu!