Huyu ni Human Trafficker, apewe kesi hiyo ya human trafficking and enslavement. Serikali yetu vitu muhimu kama hivi inashindwa kabisa kuvifuatilia.
Hao matajiri uchwara ndio wanaowalipa hao watumishi wa serikali wenye mishahara njiwa, unadhani watafuatlia kweli?Huyu ni Human Trafficker, apewe kesi hiyo ya human trafficking and enslavement. Serikali yetu vitu muhimu kama hivi inashindwa kabisa kuvifuatilia.
Salim Ally alikuwa main sponsor wa Batilda Burian na huwa anachangia sana kampeni za CCM na huwa anakusanya michango kwa waarabu wenzie na kutoa ka mchango wao wa kampeni unafkiri sasa watamfanya nn? ndo maana huwa anadharau sana serikali na wafanyakazi wake
Salimu Ally ni mwarabu mwenye uraia wa Tanzania alianza kutajirika miaka ya 80s wakati huo akitumia ujanja ujanja wa fedha za kuhijji akiwapatia mahujaji fedha za kitanzania kwa ahadi ya kumwachia us dola kiasi fulani.Wakati huo hapakuwa na maduka ya kubadilisha fedha kama sasa.Kidogo akaingia biashara ya kuleta waarabu wenzake akawakamata maafisa uhamiaji kiasi kwamba kila afisa uhamiaji akitaka kufanya kazi Arusha.Maduka yote ya msikiti wa Bondeni yamejaa Waarabu,ukienda Soko kuu waarabu wamekamata maduka yote wote hawa wameletwa na Salimu Ally.
Wafanyakazi wake wote hajawapa ajira ya kudumu nawafahamu wafanyakazi wake wengine wamefanyakazi miaka 15 lakini bado wanatambuliwa kama vibarua hawana likizo,Hakuna michango ya NSSF,Hawana Overtime,hawana sikukuu isipokuwa Idd tu.
Haya yapo sehemu nyingi sana hapa bongo, makampuni mengi sana yanaandaa list fake za wafanyakazi afu wakaguzi wakienda wanaishia kwenye viyoyozi na kuhongwa, mwisho wa siku watz wanaendelea kukosa haki zao za msingi kwenye nchi yao. Mfano wa kiwanda kingine chenye vibarua wengi ni kiwanda cha Maji ya Africa kipo Kidamali wilaya ya Iringa vijijini. Kuna watu nawafahamu pale wamefanya kama vibarua tangu 1995 kiwanda kilipoanzishwa. Source ni mi mwenyewe naishi karibu na kiwanda na nimefanya kazi hapo kabla ya kwenda chuo.