Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Wewe walau unafahamu kinachoendelea.
 
Sheria ya FIFA hiyo,Kuna kipindi Redbull Salzburg ya Austria na RB Leipzig ya Ujerumani zilizuiwa kushiriki UEFA coz mmiliki mmoja,waliambiwa wachague timu moja ya kwenda...
Nafahamu hilo Mkuu, ila hapa kwetu tunajuana hakuna linaloshindikana.
Anaweza kuonekana mmiliki mwingine kwenye makaratasi ila kiuhalisia ni SSB.
 
Naam, sasa tunaongea lugha moja.

Acha tu kuwa kambi ya timu, hadi anaingilia maamuzi ya benchi la ufundi. Unakumbuka kuna kocha aliondoka akasema anaingiliwa kwenye maamuzi yake ya kupanga kikosi?
Namkumbuka,,akaondoka Tanzania Ila ujio wake si haba,Kaondoka na Gadiel Michael kamagi now anazima mbavu ya kushoto Ajax Cape Town,na mwalimu yule yule,utanikumbusha jina mkuu
 



HII MSG WAKATI ANATUNGA ABDALLAH DULLAH ANASEMA SISI YANGA TUSAMBAZE NLIKUWA NAYE. NILIMKATALIA NILIMWAMBIA MIMI NINA AKILI. AKA NI MIND. SABABU HAKUTEGEMEA.

YANGA TUJIKITE NA MAMBO YETU YA MSINGI.
 
Hii habari kuna mwamba jana tu kaniambia nikampuuza sijui kama kuna ukweli ila sasa ngoja nichimbe zaidi ipo namna hapa!

HII MSG WAKATI ANATUNGA ABDALLAH aka DULLAH ANASEMA SISI YANGA TUSAMBAZE NLIKUWA NAYE. NILIMKATALIA NILIMWAMBIA MIMI NINA AKILI. AKA NI MIND. SABABU HAKUTEGEMEA.

YANGA TUJIKITE NA MAMBO YETU YA MSINGI
 
Hivi sera na Dira ya michezo ya hapa Nchini ni nani anajukumu la kuitunga? nafikiri mkakati uwe kwenye sera ili kupunguza utegemezi kwa mtu na kuziweka hizi timu zetu ktk kujiendesha zeneyewe. Mimi ni mshabiki wa Simba na ni mmoja wa mashabiki nao tegemea Simba kufanya vyema ktk michezo yake lakini kikwazo ni uendeshaji wa Timu inafika mahala huelewi nini kimeikuta timu kiasi cha kukosa mwelekeo.
 
Hahahahaha..salute Nifah ..hii unayosema ni jana tu nimegusiwa ..mdada now nitaanzq kukuamini uko vzr una source
 
Umeongea kitu cha msingi sana Mkuu. Wewe fikiria endapo mchakato mpya ukianzishwa Dewj gharama zote alizotumia kuendesha timu atakuwa kapoteza, pesa pekee atakayorudishiwa ni ile aliyotoa kwenye kununua hisa pekee!

Na taarifa zinadai Mo na kundi lake la Friends of Simba wanatumika kuihujumu timu ndio maana inafanya vibaya.
 
Ina dalili zote za ukweli. Anyway SSB ni bora mara 100 kuliko MoDewji. Aje tu
 
Huyu MO atuache tu kama inawezekana japo anatoa hela kwa uwezo wake ila drama zinamzonga sana amekua mtu wa kuzungukwa na matukio sana.

Nikikumbuka kuna watu walishawahi changia mchango wa uwanja ila mpaka leo kimya ndo nazidi kutokumuamini Guvu moya

Sasa bakhressa akiwa na asilimia hapa unyamani itakuaje maana si mmiliki wa Azam FC?
 
Bado kuna swala la uuzaji wa jezi hauna ukaguzi wowote wala maelezo ya timu inafaidika vipi ktk mauzo hayo. Ujanja huu unatufanya tuwe tegemezi kwa kila nyanja iwe usajili hata uendeshaji wa timu unamtegemea mtu mmoja ambapo ni jambo la hatari sana kwa maendeleo ya timu.
 
Hapana Mkuu, hii sio propaganda ni habari ya ukweli kabisa.
Na huyo mtu ambaye ni chanzo changu ni mwanachama hai wa Simba mwenye access na taarifa za ‘ndani’ huko kwenye klabu yao.
Kukudanganya vibaya mnooo Mo ndo aliyemteua Try Again hivo akijua anafanya hayo anao uwezo wa kumtoa mda wowote mtu ambae ungesema anafanya zengwe habar yako iwe na maana labda Ngungu boy pole sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…