Russian Bear
Member
- Aug 26, 2016
- 8
- 0
Duuuuh....sawa mkuuKampuni ya kusambaza vinywaji vikali (wines & spirits) inahitaji watu wa kufanya mauzo (salesmen/ladies). Wawe na sifa zifuatazo:
Wenye uzoefu wa kuuza vileo watafikiriwa zaidi.
- Cheti cha kidato cha nne au zaidi
- Umri wa miaka 25 au zaidi
- Uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya mauzo ya mlango kwa mlango (door to door selling)
- Leseni ya udereva wa kuendesha gari iliyo hai na awe ameendesha gari kwa miaka 2 au zaidi
Kama una sifa zilizotajwa hapo juu tuma CV yako kwa e-mail kwa: hr.ikoiko@zantel.com
Au PM kwa maelezo zaidi.
Jamani,nimekosa sifa2 tuu hapo,ila ninaweza Fanya kazi vizuri sana,nina ushawishi mkubwa Wa kufanya kazi na najiamini
mimi ni dereva na ninanewa kuuza ila sijawahi kufanya
Uzoefu wa kuuza vinywaji ninao. Ila kwenye vyeti hapo pagumu maana sinaga. Na kuhusu udereva ndo kwa kwanza leseni imetoka mwezi uliopita ila gari naendesha vizuri. Manual and autoKampuni ya kusambaza vinywaji vikali (wines & spirits) inahitaji watu wa kufanya mauzo (salesmen/ladies). Wawe na sifa zifuatazo:
Wenye uzoefu wa kuuza vileo watafikiriwa zaidi.
- Cheti cha kidato cha nne au zaidi
- Umri wa miaka 25 au zaidi
- Uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya mauzo ya mlango kwa mlango (door to door selling)
- Leseni ya udereva wa kuendesha gari iliyo hai na awe ameendesha gari kwa miaka 2 au zaidi
Kama una sifa zilizotajwa hapo juu tuma CV yako kwa e-mail kwa: hr.ikoiko@zantel.com
Au PM kwa maelezo zaidi.
Uzoefu wa kuuza vinywaji ninao. Ila kwenye vyeti hapo pagumu maana sinaga. Na kuhusu udereva ndo kwa kwanza leseni imetoka mwezi uliopita ila gari naendesha vizuri. Manual and auto
Unaweza kazi ya kutafuta masoko??? Kama unaweza na upo tayari nichek 0655674900Jamani,nimekosa sifa2 tuu hapo,ila ninaweza Fanya kazi vizuri sana,nina ushawishi mkubwa Wa kufanya kazi na najiamini