Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?
Jamani nimeitwa interview
kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and
responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani
?
Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?
kikubwa zaidi ni kuuza tu products zao hyo ndo kazi kubwa utakayokuwa unaifanya pamoja na kufungua akaunti za wateja ni kazi ngumu sana kumtafuta mteja nimeifanya hapo hapo mwaka 2007 mpka 2008 pale moshi