sales executive

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
214
Atakiwa mtu wa mauzo katika upande wa magenerator makubwa ( genset) awe na uzoefu katika kuuza mitambo na vitu vya aina hiyo. mshahara ni mzuri sehemu ya kazi ni Dar es salaam na pia atakuwa na safari nyingi za mikoani.

Awe hata na diploma in sales kikubwa ni uzoefu katika eneo hilo tuma cv peke yake kwa thomas@metl.net
 
jamani ndugu watanzani nafasi ni kwa watu wa mauzo sales & marketing sasa mtu anatuma cv anasema yeye ana expirience ya kufanya kazi mahakamani , wingine anasema yeye ni lawyer du! kama una mwenzio ana uzoefu wa kuuza heavy machine please tell him/her to send cv .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom