Salamu zangu za dhati kwa rais

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,208
3,311
SALAMU ZANGU ZA DHATI KWA RAISI!!!!

"............. Ni kweli kabisa kuwa sisi vijana hatupasi kuwa kichocheo cha vurugu na migogoro. Badala yake tukawe chanzo cha fikra ya chemi chemi na kisima cha fikra chanya na chachu ya maendeleo kwa taifa letu. Lakini pia Mliopewa dhamana, tambueni kuwa hamwongozi mawe, hamwongozi ng'ombe wala misukule. Ifahamike kuwa hatuwezi sote kukaa hapo kuongoza taifa. Na wala kuwa kiongozi si ticket ya wewe kuwa una akili nyingi kuliko unaowaongoza, #Raisi Ongoza nchi kwa mjibu wa katiba na sheria hii ni nchi yetu wote hatuwezi kukuacha uvuluge unavyotaka........!!!!!"


Fundi Mkuu Renny
1470650569921.jpg
 
Back
Top Bottom