Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 94
- 171
Congratulations to become the Best JamiiForums member of JULYSawa
Poapoa. Wanyaki na R zetu..!!kwanza nianze kwa kulipongeza shirika ama taasisi ya jamii forums kwa kua moja ya njia ya utoaji na ufikishaji wa taalifa mbali mbali kwa jamii na taifa kwa ujumla. Rakini pia napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wanajamii forums wote kwa kua sehemu ya ufanikishaji wa zoezi hili la uitimishwaji wa shindano la stories of change kwa mwaka 2024. Nikiwa kama mshindi wa 5 kati ya washindi 10 walio patikana, (Angyelile99) hapo sikuweza kufika katika hafra hiyoo hapo Jana, rakini natumaini jambo lilikwenda sawa sawia
mchango wanguu ilikua ni mchakato wa uanzishwaji wa elimu ya rugha ya alama kwa shule zote nchini na faida zakeHongera,tupe ulichoandika hadi ukashinda wa Kwetu!
mchango wanguu ilikua ni mchakato wa uanzishwaji wa elimu ya rugha ya alama kwa shule zote nchini na faida zake
hahahah. apana umeandika na alie shindwa. kilicho andikwa ndani kilikua na jambo kubwa mno kuliko namna kazi ilivyo kua imepangiliwa. ndo mana nikaibuka kua sehemu ya washindiHuu uzi umeandikwa na mshindi kweli??
hahahah. apana umeandikwa na alie shindwa. kama umesoma vizuri kilicho andikwa ndani kilikua na jambo kubwa mno kuliko namna kazi ilivyo kua imepangiliwa. ndo mana nikaibuka kua sehemu ya washindiHuu uzi umeandikwa na mshindi kweli??
rugha!!mchango wanguu ilikua ni mchakato wa uanzishwaji wa elimu ya rugha ya alama kwa shule zote nchini na faida zake
Apana ❎hahahah. apana umeandika na alie shindwa. kilicho andikwa ndani kilikua na jambo kubwa mno kuliko namna kazi ilivyo kua imepangiliwa. ndo mana nikaibuka kua sehemu ya washindi
Dah 😂Congratulations to become the Best JamiiForums member of JULY
Rugha✖️mchango wanguu ilikua ni mchakato wa uanzishwaji wa elimu ya rugha ya alama kwa shule zote nchini na faida zake
Usiwe mnafiki, kuwa huru where we dare to talk openlyNina mashaka sana hizi tuzo..ila kwa vile ndio kama kawaida basi ngoja tuishi kinafiki hivyo hivyo.
😂Sawa