josias
Member
- Jan 7, 2014
- 48
- 35
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SERIKALI YA WANAFUNZI UDSM(DARUSO).
Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO) inapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es alaam kwa kuondokewa na Naibu Waziri wa Miundombinu na Usafirishaji ndg. Mutaengerwa Mafwir aliyeuawa jana tar 15/12/2015 kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi. Kwa niaba ya wana UDOM tunatoa pole kwa Familia, ndugu, jamaa na ma rafiki katika kipindi hiki kigumu.
Pia tunatoa wito kwa jeshi LA Polisi kufanya uchunguzi wa kina juu ya suala hili na kuchukua hatua za kisheria kwa wote watakao bainika Ku husika na mauaji hayo.
Imetolewa na:
Charles Josias
Katibu Mkuu (UDOSO) Shirikisho la Chuo kikuu cha Dodoma.