Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Sep 3, 2021 #61 Kwanini swala la Kigogo kuwa msemaji wetu wa Simba limeishia wapi? Au kuna vigezo hajatimiza mimi naona anatufaa sanaa Kama vipi abaki Ezekieli kamwaga, mnasemaje wanasimba wenzangu katika hili?
Kwanini swala la Kigogo kuwa msemaji wetu wa Simba limeishia wapi? Au kuna vigezo hajatimiza mimi naona anatufaa sanaa Kama vipi abaki Ezekieli kamwaga, mnasemaje wanasimba wenzangu katika hili?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,429 Reaction score 139,486 Sep 3, 2021 #62 Huyu wampe tu yupo vizuri
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,988 Reaction score 20,370 Sep 3, 2021 #63 Binafsi nilikuwa napendelea sana professionalism kama aliyokuwa nayo Bwana Jafar Maganga wa Azam FC.
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Sep 3, 2021 #64 zanzibakwetu said: Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema Click to expand... Hamasa inabebwa na USHINDI uwanjani. Kama timu haifanyi vzuri uwsnjani FANYA UWEZAVYO KAZI BURE
zanzibakwetu said: Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema Click to expand... Hamasa inabebwa na USHINDI uwanjani. Kama timu haifanyi vzuri uwsnjani FANYA UWEZAVYO KAZI BURE