PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,426 Oct 20, 2018 #2 Itabidi Mo Dewji aelezee umma wa watanzania watekaji walikuwa wakina nani na lengo lao ni nini?
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,809 Oct 20, 2018 #3 Takataka
Swahili Ambassador JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 204 Reaction score 245 Oct 20, 2018 #4 Sitashangaa siku nikisikia watu wanadownload mzigo hapo. Fedheha kwa mwanaume kufanya vitendo kaa hivi hasa ukizingatia una wazazi na ndugu pia.
Sitashangaa siku nikisikia watu wanadownload mzigo hapo. Fedheha kwa mwanaume kufanya vitendo kaa hivi hasa ukizingatia una wazazi na ndugu pia.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,705 Reaction score 94,660 Oct 20, 2018 #5 Wasanii akili zao ni za Dr Shika aka Zero Brain.
Lakunle JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 637 Reaction score 589 Oct 20, 2018 #6 Napata shida hata kukoment ngoja nimsamehe sultan
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,606 Reaction score 5,626 Oct 20, 2018 #7 King Kong III said: Wasanii akili zao ni za Dr Shika aka Zero Brain. Click to expand... hawa jamaa wanatumika sana kuwatoa watu kwenye reli....utawala uliopita walitumika sana popo bawa na mzee wa kikombe...utawala huu teknolojia imekua basi wanatumika tu kama salama
King Kong III said: Wasanii akili zao ni za Dr Shika aka Zero Brain. Click to expand... hawa jamaa wanatumika sana kuwatoa watu kwenye reli....utawala uliopita walitumika sana popo bawa na mzee wa kikombe...utawala huu teknolojia imekua basi wanatumika tu kama salama
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,581 Reaction score 7,232 Oct 26, 2018 #8 Salama na yeye ni wale wale.. .. analizwa..na kina bangi moto ... Fid Q ana kazi!