From Zenj to Moshi with love. teh teh
Aikambe!
I know Mpwa, Lakin vifaa vya Kirua vunjo pale au Machame! Aiseee babangu,Mungu alifanya kazi.Nikifikiria kutoka huku Zenj natamani kuahirisha safari!
I know Mpwa, Lakin vifaa vya Kirua vunjo pale au Machame! Aiseee babangu,Mungu alifanya kazi.
Mhhhh shida yao wale wa pale kirua vunjo hata Machame hawana usafiri! wengi wao ni kama kontena kubebwa na chelea ama spoku!
Nawatakia wachagga wote maandalisi mema ya x-mas tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu sangu za x-mas natuma kwa, Maruwa, Nkya, kiwia, Mawalla, Masawe, Mangi, Mushi, Mamuya, Mosha,Muro, Marialle, Manka, Keku, Shirima, lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,Munuo, Mtei, Mmary,Kirumbuyo, Mkonyi, Tarimo, Munisi, Mbonika,Maleko,Mselle, Msale, Shayo, Nyange, Munishi, Lema, Lauwo, Kessy, Mtuy, Kisomo, Moshy, Mkonyi, Sillayo,Male,Mlay,Lauwo,Tairo,Mrosso,Shoo,Maeda,Swai,Mauki,Shayo,Kimaro,Soka,Mkenda,Makundi,Mangesho,Tilya,Kinabo, Mtei, Ulomi,Njau, Sirili, Matteru, Minja, Kiwali, Maro, Ndossy, Kway,Meela, Mallya,Ndanshau, Shio, Assenga,Moshi na Macha na watani zetu waparis.
Ujumbe wetu ni ....tudumishe mila se.. mila setu..........na safari hii ndugu sangu tafasalini hakuna ki kisingsio eti, vijana wa Majembe wanafanya kasi sio msesho, nauli sitakuwa kama bure kabisa, hapo mpo jamani.....??? eka nka mwali, eka mbeee
Swadakta,ndiyo sifa za Miss Kisura TZ au miss world.Au wewe unapenda Za kichinachina za kuongeza makalio.Mhhhh shida yao wale wa pale kirua vunjo hata Machame hawana usafiri! wengi wao ni kama kontena kubebwa na chelea ama spoku!
Swadakta,ndiyo sifa za Miss Kisura TZ au miss world.Au wewe unapenda Za kichinachina za kuongeza makalio.
Halafu usijali, sifa yetu moshi sio warembo wenye sifa za kuwa wake wema.Tuna mlima wetu mzuuuuuri sana,Aiseee Moshi bana,lazima tukawaone krismasi hii kina swai na massawe pale Kyarie.
Bluray effects?
Hapana mpwa ,uzuri nao ukizidi unakosea na ulimi umeteleza,namaanisha wana sifa zote.Halafu kasi ya kuokoka Moshi imezidi,wengi wanamrudia Bwana,hivo hawadanganyiki!Hapo umeharibu, wazuri kumega kumega na si kuowa!
tumewachoka............................
Bwana yupi? maana hilo ni suala lingine
Hapo umeharibu, wazuri kumega kumega na si kuowa!