beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Sijaelewa vizuri
utamwelewa tu judgement akija
Sijaelewa vizuri
Sante mamaa
Shem wangu wa ukwee asanteeKaribu shemeji yangu Nilikumiss sana
Beib wangu imic uuHuyu keshaelewa!
Sawa kabisaShem wangu wa ukwee asantee
hun kuna chumba hapa kipo waz so ndo nakuandalia. Na jogoo tumemuacha love halaf usisahau kuja na ule mzigo beibMai Hun mekupata hivi muda huu ndiyo niko Mbezi kwa Yusufu , naja kwa gari binafsi !
Muume sikio Mama mzaa chema ugeni punde hivi !
Lile Jogoo uliloniambia msilielekeze kibla leo, lile mtanichinjia kesho J'2 , mi naja na Nyama nimeinunua pale
Mbande- Kongwa.
Nipe utaratibu wa malazi my WIFE .
Hapana shem nilikuwa kwa bibiSawa kabisa
Ulikuwa kwa babu au?
jaman kama wiki iliopita nilivoweka thread ya mimi kurudi nyumban basi hatmae nasty nipo uswahilin kwetu huku ila tuu ninasalamu nyingi sana kutoka kwa mamaangu mzazii, anawasalimu saana. Tena my judgement mama kasema kama itawezekana uje mjin. Mi nimewamis tuu mepata majukumu tuu nyumbani ila nect weekmichakato itaanza.
Sijaelewa vizuri
Beib wangu imic uu
hun kuna chumba hapa kipo waz so ndo nakuandalia. Na jogoo tumemuacha love halaf usisahau kuja na ule mzigo beib
Upo dar mpenzii? Clmith u kipenz,me mwenyewe stil nipo jijin km vp tutaftane!
Upo dar mpenzii? Cl