Salaam za Rambirambi toka CHADEMA Kanda ya Kaskazini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Taarifa kwa vyombo vya Habari

IMG-20170507-WA0090[1].jpg
 
kungeanzishwa hata namna ya sisi tulio mbali kuchangia either mpesa au namna nyingine inayoonekana kufaa zaidi ili kuzifariji familia zilizofikwa na msiba
 
Kwakweli inauma xaaanaaa. ila basi hamna namna watanzania tutulie pamoja na tumwombe Mungu atupe nguvu za kustahimili tukio hili baya xaana kwa wakati huuu. Aminaaa
 
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kanda ya kaskazini hadi leo haina mwenyekiti ambaye ndie alitakiwa atoe hilo tamko. Kanda zote nchi nzima wana wenyeviti lakini kaskazini Hamna kwa mizengwe Ya mbowe hataki ndesamburo ashike. Kwa nini Tangazo halijatolewa hata na kaimu mwenyekiti kanda Ya kaskazini? Hili Tangazo silitambui
 
Agenda hizo sio za kwetu kwa sasa. Ikiwezekana peleka Lumumba
 
Kanda ya kaskazini hadi leo haina mwenyekiti ambaye ndie alitakiwa atoe hilo tamko. Kanda zote nchi nzima wana wenyeviti lakini kaskazini Hamna kwa mizengwe Ya mbowe hataki ndesamburo ashike. Kwa nini Tangazo halijatolewa hata na kaimu mwenyekiti kanda Ya kaskazini? Hili Tangazo silitambui
Hii ni pole na sio siasa acha usenge wew mtot wa mama umekaa kidelicious tu..hujielewi
 
kungeanzishwa hata namna ya sisi tulio mbali kuchangia either mpesa au namna nyingine inayoonekana kufaa zaidi ili kuzifariji familia zilizofikwa na msiba
Pumbavu tuchangie wazipige kama zile za Kagera,hawanipati tena.
 
Kanda ya kaskazini hadi leo haina mwenyekiti ambaye ndie alitakiwa atoe hilo tamko. Kanda zote nchi nzima wana wenyeviti lakini kaskazini Hamna kwa mizengwe Ya mbowe hataki ndesamburo ashike. Kwa nini Tangazo halijatolewa hata na kaimu mwenyekiti kanda Ya kaskazini? Hili Tangazo silitambui
Vyama vya kihuni utaviona tu kwa figisu figisu
 
Pumbavu tuchangie wazipige kama zile za Kagera,hawanipati tena.

Wengine hata Hela tu ya kununua ' Unga ' wa Ugali Tsh 2,200/ hamna lakini humu ' mnajitutumua ' kuwa nanyi mlichangia kule Kagera. Waswahili bhana ' mikogo ' mingi lakini bure kabisa!
 
Sijapenda hiyo address " CHADEMA KANDA YA KASKAZINI"

huku ni kuendekeza ukanda na Ukabila.

Msiba huu wa kitaifa... Kwanini msiseme CHADEMA TAIFA.

vitu vidogodogo hivi vinawaharibia sana.
 
Sijapenda hiyo address " CHADEMA KANDA TA KASKAZINI"

huku ni kuendekeza ukanda na Ukabila.

Msiba huu wa kitaifa... Kwanini msiseme CHADEMA TAIFA.

vitu vidogodogo hivi vinawaharibia sana.

Jiandae ' Kisaikolojia ' kwa majibu yao Mkuu kwani najua hutoyapenda na yanaweza yasikupendeze sana pia na ukahamaki.
 
Kana sio siasa nini kimewafanya mje na tamko lenye nembo Ya chadema na likiwakilisha chadema?
Halafu sijaelewa inamaana ibada itafanyika tofauti na ratiba ya serikali...au kutakuwa na ibada mbili ndani ya uwanja mmoja.?

Vipi na ccm nao waliitisha ibada yao,huo utakuwa mkutano wa kisiasa au ibada.!
 
Back
Top Bottom