Salaam za Christmas 2013 za Askofu Kakobe

Mhabarishaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2010
Posts
1,007
Reaction score
601
Katika salaam zake za Christmas jana katika Kanisa la F.G.B.F, Mwenge, Dar es Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe amezungumza kwa takribani saa mbili nzima mambo mazito sana kuhusu Uchaguzi Mkuu, Tume huru ya Uchaguzi, Ukabila na Ukanda, kufukuza viongozi katika vyama vya siasa na Serikali na mambo mengine mengi kuhusu mustakabali wa Taifa na mambo ya Kiroho. Kalamu na wino havitoshi kuyaandika. Tafuta wasaa wa kusikia hapa unedited full version ya mahubiri yake ya Christmas.
 
Last edited by a moderator:

Nimeyasikia mahubiri haya yote! Heeeeh! Hii ni hotuba ya funga mwaka!
 
Last edited by a moderator:
hii imekaa vizuri !!!
 
Last edited by a moderator:

Eeh, nilianza kusikiliza kama utani tangu saa sita usiku nimejikuta nanogewa hadi saa nane na madakika ndio nalala. Kiongozi huyu wa kanisa ameongea jamani, mambo yote aliyoongelewa ndio haswaaa kero ya watanzania walio wengi hasa ambao hatuko kwenye uongozi serikalini, yanatukera mnoo, hatuna tu pa kusemea, du nimependa, Mungu aendelee kumpa maisha marefu aendelee kukemea angalau hata km hivyo 'once in a while' labda watabadilika na kuanza kuwa viongozi wa kutuletea maendeleo ya kweli.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…