Karibu! Lakini mbona yaonekana hujatimiza masharti ? Au hukusoma vizuri guide rules? Kwamba thread/post yako ya kwanza unatakiwa ui'send ukiwa umevua viatu? Na ukiipost huku umevaa viatu huku sisi kuna sensor inatuonesha. Sasa haraka vua viatu alafu urudie kuituma tena, hayaa- hayaa chemka!