Sala zenu kwenye interview ya PCCB

neynee

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Mwenzenu huwa naitwa sana kwenye interview ila sijawahi kufanikiwa katika nyanja za ajira niombeen walau PCCB nionekane kwani nipo tena kwenye shortlist yao
 
Shukuru Mungu ata kuitwa unaitwa.. Wengine ndio balaa.

Nina mashaka na vitu hivi:
-Uwezo wako wa kujieleza.
-Uwezo wako wa English.
-Unakijua unachoeleza? Yaani upo fresh kimaterial katika career yako?
-Maandalizi before interview, pamoja na kusoma maswali na majibu possible katika Interviews nyingi.
-Unapanic au ku-over react ukiulizwa kitu usichokijua au umekisahau.

Wataongezea mengine recruiters na ma-HR aisee.
 
Hivi ushadownload amptitude questions ukazifanyia mazoezi au uko bize JF alafu unategemea maajabu
 
- Be yourself, express what you know (usitake kujifanya unajieleza kama fulani)
- Confidence (kila mwajiri anataka mfanyakazi anayejiamini)
- Answer the question, be specific (usirembe na maneno yasiyo husika, sikiliza swali, toa jibu la swali, usiongeze vikorombwezo)
- Zingatia muda
- Muonekano wako (kuwa "smart")
- Face the interviewers ( usiangalie pembeni, relax watazame, wasikilize, wajibu)
- Speak only when you are spoken to (usianzishe majadiliano, fika, salimia subiri maelekezo)
- Tembea na nakala za vielelzo vyako (vyeti etc)
- Fahamu historia yako, lini umesoma umamaliza lini, umefany akazi wapi, kuazia lini etc
- PCCB ni taaisi ya uchunguzi, kabla hujaitwa kwenye usaili wanafanya uchunguzi wao kukufahamu, usipindishe maneno, be strainght forward, usiongeze chumvi ukadhani utapata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…