Sala ya kuiombea Tanzania dini zote

Status
Not open for further replies.
katiba izingatiwe kwa wenye mamlaka ya nchi,la sivyo mauaji yataendelea kutokea.naomba niwakumbushe nchi haina dini ila watu wake ndio wenye dini tusichanganye dini kwenye masuala ya nchi
 
jf na tz kwaujumla
Shirikianeni na watu wote,jamaa na dini zote za ulimwengu kwa ukweli halisi, unyofu,uaminifu,upole,ukarimu na urafiki
 

UMEKARIRI.


  1. Mimi ni Mkristo Mkatoliki (kwa sasa). Nimebatizwa katika kanisa la Parokia ya Msalaba Mtakatifu (Holy Cross Parish) Mwadui, Shinyanga. Inaweza isiwe hoja anyway. Dini naijua. Hata yako naijua as long as ni dini katika Tanzania. Najua pia dini zimeingiaje Tanzania achilia mbali historia ya Ukatoliki kuanzia "Papa wa Kwanza" Petro hadi huyu anayeng'atuka. Najua habari za akina Luther, Hellen G. White, Joseph Smith (wa Mormonism) etc. Bado hii si hoja pia.
  2. Kuishi kwa misingi si lazima iwe kwa mujibu wa dini ama dini fulani. Kuna sheria za nchi ambazo ni utaratibu. Kuna sheria ndogo ndogo (bylaws) ambazo huongoza utaratibu kama katika Halmashauri ama Taasisi. Si dini pekee. Dini nayo ina mchango wake kwa nafasi yake kwa muktadha wake. KWA FAIDA YA NCHI (HII) HATUHITAJI KUJENGA MISINGI KWA MITAZAMO YA DINI AMA REFERENCES ZA DINI/KIDINI.
  3. Wajapan hawapigani mambo ya dini wao wamepata roho gani? Waswizi hawapigani dini wao wamepata roho gani? Wapelekeni watoto wenu shule acheni kuenntertain upuuzi.

TATIZO LENU MNAONGEA SANA. ACHENI UKASUKU. PELEKENI WATOTO WENU SHULE. ELIMU IKIINGIA UJINGA WA KUPIGANIA KUCHINJA (KUUA WANYAMA), HAUTAKUWA NA NAFASI. HEBU NENDA UFARANSA UKAZUNGUMZE HABARI YA KUCHINJA!!!
AKILI ALIYOKUPA MWENYEZI MUNGU USIISHIE KUITUMIA KUNUNUA KIBERITI DUKANI!!!!


"WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"

​
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…