Sala kama hizi husikilizwa kwa umakini mkubwa

Ako kanaonekana ni kakibaka kazoefu..
Mkuu, sidhani kama mtoto kama huyu aweza kushindikana kunyooshwa na jamii badala yake aonekane kama mhalifu sugu.
Kinachokosekana ni utashi katika serikali na jamii katika kuwajengea mazingira salama na matokeo yake serikali na jamii imeandaa mazingira ya uhalifu na mwishowe kugeuka wauaji...km panya road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…