Sala kabla ya tendo la ndoa...

ni kweli mkuu sala kabla ya ndoa ni kibiblia. nasikitika mimi binafsi sifanyi na kuanzia sasa nitajitahidi! maana yale mambo wakati mwingine hayana fomula waweza kuta mnaanzi kwenye corridor hadi kufika room akili yote imeshahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…